Wednesday, July 30, 2008

Tigo Wadhamini Nane Nane
Meneja wa Kampuni ya Tigo kanda ya kati na kusini,Willy Magehema (Kulia)akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,William Lukuvi simu ya mkononi baada ya mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma hivi karibuni juu ya udhamini wa kampuni hiyo katika maonyesho ya Nane Nane kitaifa yatakayofanyika mjini Dodoma kwa miaka mitatu mfululizo.

No comments: