Friday, July 25, 2008

Ziara ya Waziri Mkuu wa Kenya
Nchini Uingereza..
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Hon Mwanaidi Maajar(Kushoto)akifurahi jambo na Waziri Mkuu wa Kenya Bw Raila Odinga(Kulia)walipokutana kwenye Kikao cha CommonWealth Bussiness Council nchini Uingereza.
Waziri Mkuu wa Kenya Bw Raila Odinga ameshiriki kwenye kikao maalum cha Commonwealth Bussiness Council kilichofanyika Pall Mall nchini Uingereza kilicholenga kutangaza nafasi mbalimbali za Uwekezaji nchini Kenya baada ya machafuko ya kisiasa yaliyotokea mapema mwaka huu,akizungumza kwenye kikao hicho hapo jana Waziri Mkuu wa Kenya Bw Raila Odinga alisema''We are fully committed to governance reforms that create a better environment for doing business,minimising government interference in economic activities while encouraging partnerships between government and the private investors we are on the way to having a one stop shop investment centre and instituting a single business licensing for investors,we are also looking at providing an initial tax holidays for and investment beyond certain determinable thresholds, we would like to make Kenya the most investment friendly country in the world." Katika Mkutano huu ambao uliudhuriwa pia na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Hon Mwanaidi Maajar. kwa mengi zaidi mtembelee Ayoub Mzee kupitia www.ayoubmzee.blogspot.com

No comments: