Monday, July 28, 2008

Rais Karume na Mzee
Mwinyi...

Rais wa Zanzibar Amani Abeid Karume,akisalimiana na Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi,baada ya kufungua mkutano wa wanachama wa Tume za Uchaguzi Kusini mwa Afrika,unaofanyika mjini Zanzibar.Katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Leopoldo Da Costa.Picha na Ikulu Zanzibar.

No comments: