Monday, July 28, 2008

Kibanda Cha Senema!
Mangesani, Bagamoyo jana jioni. Kiingilio shilingi mia kwa picha moja. Picha nyingi zinazoonyeshwa hapa hazifai kuonyeshwa kwa watoto wa umri huo pichani. Wahusika ni lazima walitambue hili na wachukue hatua za kuwalinda watoto hawa.

No comments: