Morocco Road 1989!
Pichani ni Kinondoni Biafra na hususan barabara ya Morocco,sasa inaitwa Kawawa Road. Picha hizo zilipigwa mwaka 1989. Kwa mtu ambaye hakuwahi kuona mandhari hizo, huenda asiamini kama ndivyo palipovyoonekana miaka hiyo.Naam.Tumetoka mbali.
No comments:
Post a Comment