Tuesday, July 29, 2008

crdb yazawadia wanafunzi bora dodoma
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda, Mkuu wa mkoa wa Dodoma, William Lukuvi (kulia kwake) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Charles Kimei (watatu kulia) wakiwa na wanafunzi watatu wa darasa la saba waliofanya vizuri katika somo la Hisabati mkoani Dodoma katika sherehe za kuwazawadia 9533 wanafunzi waliofanya vizuri katika somo hilo zilizofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma wiki iliopita. Wanafunzi hao kutoka kushoto ni Sharifa Hamisi wa Shule ya Misngi Pandambili, Kongwa , Sharifa Hamisi wa Shule ya Msingi,Mtengete ya Mpwapwa na Said Suleiman wa Shule ya Misingi Karamba , Kondoa

No comments: