Saturday, July 26, 2008

Waziri Mkuu akutana na Madiwani
kutoka Wilaya ya
Maswa..
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na madiwani kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Maswa,ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Julai 25,2008
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Maswa,Magale Shibuda na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa,Suleiman Songe,kwenye Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma,Julai 25,2008.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments: