Friday, July 18, 2008

Wajitolea kupanda Mlima
Kilimanjaro..
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika Picha ya pamoja na vijana waliojitolea kupanda mlima Kilimanjaro ili kuchangisha fedha kwa ajili ya ukarabati wa kanisa la Anglican,Dayosisi ya Zanzibar baada ya ibada ya ibada maalum ya kuombea safari ya vijana hao,iliyofanyika kwenye kanisa Kuu la mtakatifu Albano jijini Dar e salaam.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: