Friday, July 18, 2008

Mama Mkapa anawakata Riba
Kubwa Walimu-Mbunge Zambi


Serikali imeombwa kufuatilia madai kwamba mke wa Rais mstaafu Benjamin Mkapa,Anna Mkapa (Pichani),anawakata riba kubwa walimu kupitia kampuni ya ukopeshaji.Kwa mujibu Mbunge wa Mbozi Mashariki,Godfrey Zambi (CCM)wakati akichangia makadirio ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi bungeni juzi jioni,kampuni hiyo hutoza riba inayofikia asilimia 67 na wakati mwingine hadi asilimia 200.Bofya na Endelea Hapa...>>>>

No comments: