Monday, July 21, 2008

Pole Mama Mwijage...
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda,akimfariji Mbunge wa Viti Maalum Severine Mwijage(kulia) ambaye alifiwa na binti yake Stella na dereva wake Anderson Kaindoa katika ajali ya gari ilyotokea Julai 18,2008 karibu na Gairo,Dodoma.Waziri Mkuu alijumuika na waombolezaji Julai 19,2008,nyumbani kwa mbunge huyo,Area C,Dodoma kuhudhuria ibada ya na kutoa heshima za mwisho kwa marehemu hao.Katikati ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: