Hali Halisi ya Chuo kikuu cha Afya
Muhimbili..
Picha juu ni Sehemu ya kupikia chakula chuoni hapo ambayo ipo karibu kabisa na vyoo tazama kwa makini upande wa kulia.
Mwonekano Halisi wa nje ya CAFETERIA ya chuo hicho.
Picha juu ni Mwonekano Halisi wa Bafu la Chuo hicho ambacho kinazalisha Wataalam wa Afya katika Mazinira Yasiyo na Afya.Nje ya Hostel ya chuo hicho kikuu cha afya Muhimbili kulivyo ambapo ni sehemu wanapoishi wataalam wetu wa afya.
----------
Mdau Bernard Rwebangira anatujuza kwamba Hali ni mbaya katika chuo kikuu cha afya cha Muhimbili jijini Dar es Salaam kama uonavyo pichani.

No comments:
Post a Comment