nyaya za umeme ni hatari wajameni

Askari wa kikosi cha Zimamoto akiwa amembeba katika machela (Ngazi) mkazi wa jijini Dar es Salaam, Said Abdalah baada ya kunusurika kifo kutokana na nguzo ya umeme wenye kilo Votts 11 kuanguka katika eneo la Jangwani, Dar es Salaam, jana.Katika tukio hilo hakuna mtu aliyepoteza maisha

Nguzo ya umeme wenye kilo Votts 11 ukiwa umeanguka katika eneo la Jangwani,jijini Dar. Katika tukio hilo hakuna mtu aliyepoteza maisha
No comments:
Post a Comment