Thursday, July 17, 2008

Mzee Kingunge na
Malima...
Naibu Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Mkuranga,Adam Malima(kushoto)akiteta na Mbunge wa Kuteuliwa,Kingunge Ngombale Mwiru,nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: