toleo la raia mwema wiki hii

WATUHUMIWA wakubwa wa rushwa na ufisadi, wanaelezwa kupumua baada ya kufanikiwa kuwatisha viongozi na watendaji wa juu wa Serikali ili kesi dhidi yao zisitishwe,Raia Mwema imebaini.
Habari za ndani ya Serikali zinaeleza kwamba uchunguzi wa kesi kadhaa uliokuwa katika hatua za mwisho na hata zile kesi ambazo zimekamilika 'zimegonga mwamba' na watendaji huenda sasa 'wakageuziwa kibao'.
Kwa mujibu wa habari hizo,taarifa zilizovuja na kuwafikia wahusika zilipenyezwa kutoka ndani ya vyombo vya Serikali na hivyo kuwafanya watuhumiwa hao kuanza kupambana kuhakikisha wanajihami kwa nguvu zote.Kwa mengi zaidi juu ya Habari hii na Makala Mbalimbali zilizokwenda shule ikiwemo Raia ya Jenerali Ulimwengu Endelea kwa Kubofya Hapa..>>>>
No comments:
Post a Comment