Thursday, July 17, 2008

Hivi Sigara Tamu
au ?
Hivi wadau sigara ni tamu au nivipi,ukiwaona wanaovuta huburudika saana na ladha yake wanaipata vilivyo , lakini maelezo ya kitaalamu yanasema sigara ni mbaya na inaleta balaa mwilini japo watu wanaipenda,hebu mcheki mdada pichani akivuta hisia ya fegi kwa raha kabisa.

No comments: