Mkonge...
Rais Jakaya Kikwete akijiandaa kukata mkonge muda mfupi baada ya kuzindua uzalishaji wa nishati ya gesi inayotokana na zao la Mkonge katika kiwanda cha Katani limited kilichopo Hale,Wilaya ya korogwe Mkoani Tanga.Rais Kikwete yupo mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kukagua na kufungua shughuli za maendeleo.Picha na Freddy Maro/ikulu
No comments:
Post a Comment