mpaka waishe ! ?



Tatizo la kujichukulia sheria mkononi bado linazidi kuwa sugu jijini Dar, kama inavyoodhihirishwa jana jioni kwa kijana huyu aliyeipata joto ya jiwe alipokwapua cheni kwa mama mmoja hivi karibu na jengo la PPF Tower na kukumbana na kundi lenye hasira kali na kumshushia kipondo kama uonavyo pichani, huku wengine wakisema "ooh tumewachoka hawa wamezidi sana na mpaka waishe"!,lakini hata hivyo kibaka huyo aliokolewa na askari wa kampuni ya ulinzi na kuchukuliwa hatua zaidi za kisheria
No comments:
Post a Comment