Wednesday, July 16, 2008

Mh kandoro upooo


Pichani ni baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo wakiwa wamepanga bidhaa zao chini kando kando ya barabara msimbazi jijini Dar jana jioni

Zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogowadogo a.k.a Wamachinga maeneo yasiohusika inawezekana limeshindikana,iliobaki kwa sasa ni askari wa jiji kujitengenezea chochote kitu a.k.a kitu kidogo kwa mtindo wanaoujua wao kutokana na zoezi hilo kuonekana kama nguvu za soda,huku machinga nao wakiendelea kutanua kama kawaida kwa kufanya shughuli zao sehemu ambazo zimepigwa marufuku.Whyyyy kwaniininiiiiii linashindikana zoezi hili?

No comments: