Wednesday, July 16, 2008

kubadilishana mawazo kunapoleta joto


kubadilishana mawazo kwa namna hii wakati mwingine ndiko kunakoleta kajoto flani hivi ndani ya vikao vya Bunge,hali ambayo hupelekea mijadala kadhaa kuibuka

Pichani ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, wakati alipokuwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Nzega, Lucas Selelii na Meneja Mawasiliano wa Tanesco, Badra Masoud (katikati), nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma hivi karibuni

No comments: