Wednesday, July 16, 2008

umakini unapokosekana mengi huenda mrama


Mkali wa miondoko ya muziki wa Bongofleva Mc Shupavu a.k.a Pro Jay akijimiminia kinywaji taraatiibu hivi karibuni ndani ya tuzo za Kill music awards huku akiwa amevalia kimasai.Pro Jay nae ameonekana kuzikandia tuzo hizo za 2007 kwa kudai kuwa maandalizi yake hayakuwa ya umakini wa kutosha,kwani aliyestahili kupewa tuzo hakupewa,asiyestaili ndiye aliyepewa tuzo,hali hiyo imekuwa ikiwavunja nguvu baadhi ya wadau na wasanii wenyewe.Kulalamika huko si kwa msanii huyo tu hata Bushoke pia amezilalamikia tuzo hizo kwa kuwa zilikosa umakini, kwani yeye alipewa tuzo ambayo haikuwa sahihii yeye kupewa,kutokana na uugwana alionao, Bushoke akaamaua kuirudisha tuzo.

No comments: