Wednesday, July 16, 2008

u-17 watwaa kombe la kimataifa la copa coca Cola


Wachezaji wa timu ya vijana ya U-17 wakiwasili juzi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere jijini Dar juzi wakitokea nchini Brazili ambako walishiriki na kutwaa kombe la michuano ya kimataifa ya Copa Coca Cola. Aliyeshika Kombe ni Nahodha wa timu hiyo, Himid Mao.Picha kwa hisani ya www.mrokim.blogspot.com

No comments: