Wednesday, July 16, 2008

Mambo ya ZIFF,
Zanzibar..
Mmoja kati ya Mastaa wawili waliokuwa katika shoo za kufa mtu za ZIFF katika ukumbi wa Mambo Club visiwani zanzibar.Nakaaya Sumari (kulia)akiwa amekula pozi na mmoja wa vimwana kwenye shoo ya ZIFF.Picha kwa hisani kubwa ya Mdau Msimbe/Viswani Zanzibar

No comments: