Picha hii inafikirisha...

Masikini Mama yangu sijui anatapona ili anipikie uji nina njaa kwelikweli,ndivyo anavyoonekana kuwaza mtoto huyu mdogo ambaye alikutwa hivi karibuni huko Temeke akimuuguza mama yake Mzazi kwa kweli inasikitisha na kutia huzuni kubwa.Picha kwa hisani ya mdau wa Blogu hii Yahya Charahani.
No comments:
Post a Comment