Wednesday, July 16, 2008

Balozi wa Marekani amtembelea
Rais Karume..
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume(Kulia),akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania,Mark Green aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar jana.Picha kwa hisani ya Ramadhan Othman Ikulu,Zanzibar

No comments: