Saturday, July 5, 2008

Harare- Bulawayo 1987
Kuna mdau anakumbuka kupanda treni kutoka Harare kwenda Bulawayo miaka 21 iliyopita. Usafiri wao wa treni yao ulikuwa ni katika viwango vya kimataifa. Hali kwa sasa ni mbaya sana.

No comments: