Tunahitaji: Uendawazimu Wa Anne Kilango
Na Maggid Mjengwa,
TUMEMSIKIA bungeni Mheshimiwa Anne Kilango akizungumza kwa uchungu juu ya ufisadi. Ametaka fedha za EPA zilizochotwa na mafisadi zirudishwe kwa wananchi.
Ametoa mfano wa Socrates, mwanafalsafa wa Uyunani ya kale aliyekuwa tayari kufa kwa kusimamia anachokiamini. Soma zaidi; http://raiamwema.co.tz
No comments:
Post a Comment