Saturday, July 5, 2008

Kinondoni Biafra 2008!

Miundo mbinu ni tatizo. Bado kuna barabara nyingi za mitaa yetu zenye mashimo na zenye kujaa maji na matope wakati wa mvua. Iko siku watatokea wenye kuwajibika, watatusaidia kuondoa kero hii. Hali ikibadilika, kuna atakayepiga picha eneo hili na kulinganisha na picha hii niliyopiga wiki tatu zilizopita. Kama asemavyo Mzee Ndaki, " Tutafika tu!"

No comments: