Muhogo: Kimbilio La Wanyonge

Baadhi yenu mnakumbuka kuwa enzi hzo tulipanga foleni ya mikate ya siha. Ilikuwa mitamu kweli. Siku hizi kwa wanyonge wengi mkate ni anasa. Bei ni kubwa mno. Muhogo umepanda chati na kuwa kimbilio la mnyonge. Katika Tanzania ya leo kuna wanaoshindia muhogo. Pichani ni Kinondoni Biafra majuma matatu yaliyopita. Jamaa huyo anaiuza mihogo yake. Fungu shilingi mia tano, na inakwenda.
No comments:
Post a Comment