Wednesday, July 16, 2008

Dr Migiro..
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr.Asha-Rose Migiro akiwa na mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC1 Elisha Elia Mwakagali(kushoto)na Afisa wa Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Maura Mwingira(kulia)baada ya mkutano wa baraza la Umoja wa Mataifa linaloshughulika masuala ya Uchumi na Jamii Jijini NEW YORK nchini MAREKANI hivi karibuni.

No comments: