Wednesday, July 16, 2008

Gozi Spoti Limetimiza Robo
Mwaka...
Leo Jumatano Jarida la Gozi Spoti litatimiza robo mwaka tangu kuanzishwa kwake miezi mitatu iliyopita.Hutoka kila Jumatano. Limetoka bila kukosa kila Jumatano tangu kuanzishwa kwake.Gozi Spoti linasomwa nchi nzima,kutoka Mtwara hadi Bukoba,Sumbawanga hadi Arusha.Linaishi,linakua.Pichani jamaa anasoma Gozi Spoti mara baada ya kutoka kiwandani.

No comments: