Mwenge wa Uhuru Watinga
Mvomero....

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero,Hawa Ngh’umbi,mwenye kombati aina ya mgambo akiwa ameshililia mwenge wa uhuru na Mmoja wa wakimbiza mwenge huo kitaifa kuanza mbio Wilayani humo baada ya kuupokea kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga,Dk Rajab Rutengwe julai 13 mpakani mwa Wilaya ya Kilosa na Mvomero.Picha hii na mdau,John Nditi
No comments:
Post a Comment