Saturday, July 12, 2008

Chombeza Time..
Mkubwa nikiwa kama mdau wa kublog na host wa www.mwakilaga.blogspot.comnaomba msaada kwenye tuta, unitangaziye ujio wa kitabu changu cha mahaba, Chombeza Time kiatakachoingia mtani Julai 21,nashukuru kwa kunisaidia katika hili.
Chombeza Time kitakuwa kimesheheni mada kali za mahaba na meseji zenye hisia kali za mapenzi zaidi ya 500 ili kukuiwezesha wewe msomaji kupata kitu roho inapenda kokote uendako!!Si kitabu cha kukosa kitakuwa mitaani mwezi huu! na zaidi ya yote kitakuweze kukuunganisha na marafiki na wachumba.
Mawasiliano: 0715 888887

No comments: