Saturday, July 12, 2008

Mkapa Tusiyemjua: Haongei, Anaongelewa

"MKAPA kaongea !" Hicho chaweza kabisa kuwa kichwa cha habari katika moja ya magazeti yetu. Naam, katika miaka ya karibuni, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amekuwa kimya mno. Hivyo ndivyo inavyosemwa kwenye vyombo vya habari na kwenye jamii. Ndio, kimya cha Mkapa kinaongea, tena kwa sauti. Soma zaidi: http://raiamwema.co.tz

No comments: