Saturday, July 12, 2008

Ukiukwaji wa Haki za Binadamu
Zimbabwe...
Mkurugenzi wa bodi ya wakurugenzi ya mtandao wa Mashirika ya haki za Binadamu Tawi la Tanzania,Dr.Emmanuel Kandusi ' kulia' akifafanua jambo kwenye ukumbi wa Idara Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam kuhusiana na Ukiukwaji wa Haki za Binadamu unaoendelea nchini Zimbabwe,kushoto ni Kaimu Mratibu mtandao wa Mashirika ya haki za Binadamu tawi la Tanzania,Richard Shiramba.

No comments: