Friday, July 18, 2008

Bungeni Jana...
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akifurahia kikombe alichokabidhiwa na nahodha wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17,Hamidi Mao(kushoto)kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma jana. Kulia ni Waziri wa habari,Utamaduni na Michezo,George Mkuchika.
Wachezaji wa timu yavijana wenye umri chini ya miaka 17 na viongozi wao wakiingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma Jana na vikombe walivyoshinda.Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: