Friday, July 18, 2008

Nape Nnauye awekwa Kiti
Moto..

KAULI iliyotolewa hivi karibuni na Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho,Nape Nnauye(Pichani)dhidi ya baadhi ya viongozi wenzake,imeanza kumsababishia matatizo.

Katika hatua moja,Katibu Mkuu wa CCM,Yussuf Makamba jana alilieleza kwamba,alilazimika kuchukua hatua za kumuita na kumkaripia kijana huyo anayewania nafasi ya uwenyekiti wa taifa wa Umoja wa Vijana(UVCCM)kutokana na kauli yake hiyo ya juzi.Bofya na Endelea Hapa...>>>

No comments: