Wazee waliokuwa watumishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika, wakiwa ndani ya uzio wa Ikulu jijini Dar es Salaam jana,ambapo walifanikiwa kuingia kwa lengo la kuonana na Rais Jakaya Kikwete kushinikiza kulipwa kwa mafao yao juzi.Hata hivyo,Rais Jakaya Kikwete,yuko Arusha kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU).Picha na Yusuf Badi.
No comments:
Post a Comment