Friday, May 23, 2008

zeze alipotinga ndani ya clouds fm........


Zeze akizungumza ndani ya kipindi cha Leo Tena kupitia redio ya Clouds Fm kuhusu suala zima la mitindo ya mavazi na urembo

Kulia ni Shamim Zeze akifanya mahojiano na mtangazaji Dina Marious jana katika kipindi cha Leo Tena akizungumzia mambo ya mitindo ya mavazi na rembo kwa ujumla, ambapo katika mazungumzo hayo Zeze pia aliitaja baadhi ya mitindo ambayo iko juu kwa sasa na ipi imepitwa na wakati.Ukitaka uhondo zaidi ingia 8020fashions.blogspot.com

No comments: