Thursday, May 22, 2008

Watanzania Nao hawatakiwi Afrika Kusini..


Wadau nimepokea pichaa hii kutoka kwa mdau mkubwa wa blog hii dada Subi ikionyesha moja ya mitaa nchini afrika ya kusiki ikiwa imeandikwa majina ya nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania ambao hawatakiwi kuwepo nchini humo kwa kile kinachoelezwa na wenyeji wa nchi hiyo kuwa wanawamalizia kazi na nafasi za ajira nchini Mwao.

No comments: