Wednesday, May 28, 2008

Jiji Wazindukaa..?


Baada ya Blog hii kutundika picha iliyopigwa na Mpiga Picha wa ThisDay ya hali mbaya ya barabara za jijini Dar es Salaa na ile ya pale posta mpya /kisutu kujaa mashimo na maji na kuhatarisha maisha ya Wananchi na magari yanayotumia barabara hiyo na kufikia hatua msamaria mwema kujitolea kuziba mashimo hayo kwa nia ya kujikusanyia chochote kwa watumiaji wa barabara hiyo jana Mamlaka ya jiji imezinduka na kutuma mafundi wake na wataalam kama muonavyo pichani kurekebisha eneo hilo.je ni kweli mamlaka ya jiji imezinduka au ni danganya toto kama kawaida..?

No comments: