Friday, May 23, 2008

Kanisa la St.Stephen Martyr..


Pichani ni Kanisa la St.Stephen Martyr lililoko mtaa wa Pennsylvania,Washington DC Marekani ambako heshima za mwisho kwa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania( BoT),Dk.Daud Ballali zitatolewa leo saa nne asubuhi kwa saa za Marekani.

No comments: