Monday, May 26, 2008

Mamlaka husika Mpo Wapi?


Picha hii iliyopigwa na mpigapicha wa ThisDay ikimuonyesha Jamaa akiweka
mchanga na kokot0 kwenye barabara ya posta mpyaa baada ya kuwa na shimo kubwa
lilokua linatishia usalama wa watu na magari piaa.kwa mujibu wa ThisDay baada ya mdau huyu pichani kumaliza kuweka kokoto na mchanga eneo hilo alianza kutoza hela kwa kila gari lilokua linapita eneo hilo..Mamlaka husika(jiji) mpo Wapi?

No comments: