jengo la ghorofa saba lilipo mtaa wa Mahiwa na Livingstone Kariakoo Dar, limeshika moto na hakuna jitihata za kutosha za kuliokoa kutokana na kutokuwepo kwa vifaa vya uhakika vya kuzimia moto huo, kama ilivyo siku zote kwa Bongo.Pichani juu askari wa kikosi cha Zimamoto cha Kandoro wakiwa hawajui la kufanya baada ya maji kuwaishia eneo la tukio na hivyo kubaki wakilitazama jengo likiendelea kuungua moto kama linavyoonekana.Picha na Richard Bukos/ GPL
No comments:
Post a Comment