Wanagombania 'Vijisenti' Vya Moto!
Vijana hawa pichani wanagombania masurufu ya moto kwa kupekua kwenye majivu ya moto. Ni katika janga la moto lilitokea Iringa hivi majuzi.

Bila kuhofia baridi kali ya alfajiri, baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Iringa niliwakuta Ijumaa kwenye eneo la tukio wakiwa katika harakati za kutafuta kilichobaki
No comments:
Post a Comment