Thursday, May 22, 2008

Usafi wa Mazingira..


Mwalimu wa Shule ya Msingi Oysterbay ya jijini Dar es Salaam Mw. Lizzy Kavana akiwaonyesha wanafunzi wa Darasa la Tano Musa Shaaban (kushoto)na Mohammed Omary jinsi ya kutunza na kuweka mazingira katika hali ya Usafi kwa Vitendo Shuleni Hapo hivi karibuni.Picha na Mpiga Picha Maalum wa ThisDAY.

No comments: