Wednesday, May 21, 2008

Ben Kinyaiya..


Mtangazaji wa kituo cha Channel 5 cha jijini Dar es Salaam Ben Kinyaiya(kulia) akiyarudi Mangoma pamoja na Mwanamuziki Defao kwenye onyesho la bendi ya FM Academia kutimiza miaka kumi ambapo Ben alikua MC,Sherehe hizo zilifanyika Ukumbi wa Msasani Club jijini Dar es Salaam Hivi karibuni.Picha na Albart Jackson

1 comment:

Anonymous said...

MASHOSTI AU SIO!