Thursday, May 22, 2008

Man U Haswaa!


Kama Msimbazi Vile!! ( Watani Mpo?) Asante ya picha kwa Young. ( Siyo Yanga!)
ila katika mpira lolote hutokea na hii ni pale jana Man u walipoweza kurudia historia yao ya kuwa champion ilikuwa ni furaha tupu kwa wadau wote ila kwa wana chelsea pamoja na kujitaidi kote mambo haikuwa kwao ila ukweli utabaki kuwa Man ni mshindi na Chelsea wakiwa hawajawahii kufika hatua hii muhimu ila wamefikia ila wamekesha bila kulipata ila pia wao wanastahili pongezi pamoja na kocha wao maana kocha aliepita hakuweza japo kuifikisha timu hiyo ya The blues hapo walipofikia.

No comments: