Wednesday, May 21, 2008

Mh Mbowe Aumia !!


Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe akitoka katika ukumbi wa M-9 wa chuo kikuu cha SAUT baada ya kumalizika kongamano la vijana kuhusu utunzaji waraslimali za nchi pamoja na dhana ya Utawala wa Majimbo lililoandaliwa na Chama chake cha Chadema,inaelezwa kuwa Mh Mbowe alianguka baada ya kuteleza na hivyo kuumia mguu ambao umewekewa P.O.P. Picha kwa hisani kubwa ya mdau Frederick Katulanda

No comments: