Saturday, May 24, 2008

Furaha ya ushindi !!


Dr Slaa akipongezwa na mkewe ambaye ni diwani wa CCM mara baada ya hukumu hiyo hivi hii imekaaje au home hamna maswala ya chama maana hii hainingi kabisa ila ndio ukweli huuo.

Washabiki wa Dr Slaa wakishangilia mara baada ya hukumu kutolewa.

No comments: