Thursday, May 15, 2008

Karamagi atupwa nje TICTS


Aliyekua Waziiri wa Nishati na madini kabla ya kujiuzulu,Nazir Karamagi amevuliwa Rasmi Uenyekiti wa Kampuni ya TICTS ambayo inajihusisha na kitengo cha makonteni Bandarini jijini Dar es Salaam ambapo Bw Karamagi alikua anamiliki hisa 35% na yeye mwenyewe kukiri bungeni kuwa ana hisa hizo, kwa sasa nafasi yake imechukuliwa na Mkurugenzi wa kundi la Makampuni ya Hutchinson Port Holding Ltd, Bw John Merodin.Hakuna taarifa zaidi zilizotolewa na msemaji wa (HPH)ambao ndio wanahisa kubwa zaidi TICTS.

No comments: